namna ya kuandika barua ya maombi
Barua ya maombi lazima iwe na yafuatayo:
Barua ya maombi isiwe na:
Muundo wa barua yako ya maombi
- Iwe hati ya kurasa moja tu.
- Isomeke kiurahisi
- Ioneshe kusudio la kujieleza lengo lako na siyo kuvutia
- Usisahau barua pepe na namba ya simu
Barua ya maombi isiwe na:
- Makosa ya kisarufi na kimuundo
- Usiweke vifupisho vya maneno
- Umri wala jinsia
- Picha
- Matokeo
Muundo wa barua yako ya maombi
- Tumia kingo za pointi 1 hadi 1.5 kwa muonekano mzuri.
- Usiandike kuzidi page moja
maudhi ya barua ya maombi
1. Taarifa za mawasiliano
2. Utangulizi
3. Jiuze mwenyewe
- Anza barua yako kwa taarifa zako za mawasiliano na za mwajili unakoomba kazi.
- Jina, anuani, nambari za simu na anuani ya barua pepe.
2. Utangulizi
- Tafuta Jina la mtu unayemwandikia. Hii itaonesha umeweka jitihada kutafiti mwajiri ni nani kuliko kuandika kwa ujumla tu.
- Kama si rahisi kupata Jina la mtu atakayesoma barua, unaweza kuanza na maneno haya; “Ndugu mpendwa”;
- Usitumie maneno kama “Kwako unayehusika".
- Kwenye aya ya kwanza jitambulishe wewe ni nani, nafasi unayoomba na jinsi ulivyopata nafasi hiyo.
- Jielezee mwenyewe, nafasi uliyonayo katika kazi, ajira ulizowahi fanya na malengo ya kazi yako.
3. Jiuze mwenyewe
- Katika aya hii elezea maarifa na ujuzi ulionao na uwezo wako binafsi. Husianisha maelekezo yako na maelekezo ya kazi unayoomba.
- Katika aya ya mwisho maliza kwa kumwambia mwajiri utafurahi kuoata nafasi hiyo, upo tayali kwa usahili wakati wowote na na Unatarajia kupata majibu toka kwa.