Maudhui ya Kozi
Wakati Ukiwa unasoma shahada ya mafunzo ya Maendeleo, utajifunza masuala mbalimbali ya Binadamu, uchumi, siasa na masuala ya jamii, kubadilika kwa nadhalia na uhusiano wa maendeleo. Kozi mara nyingi huwa na moduli juu ya siasa, na maendeleo ya uchumi, upangaji na Usimamizi, Mafunzo ya mazingira, maendeleo vijijini na Kilimo, Mafunzo ya Elimu, Sosholojia, na mbinu za tafiti. Wanafunzi wa shahada ya mafunzo ya Maendeleo pia hupata ufahamu wa vitendo ambao huwezesha maendeleo endelevu na mabadiliko ya jamii.

Njia za kazi
Wahitimu wa degree ya mafunzo ya Maendeleo mara nyingi hupata nafasi katika Mashirika ya serikali na Mashirika ya siyo ya kiserikali. Nafasi hizo ni pamoja na; nafasi za Sera katika Taifa ama serikali za mitaa, nafasi za Usimamizi ama mikakati katika mashirika yasiyo ya kiserikali na nafasi za Tafiti. Wahitimu pia hupata uwanda mpana wa Ujuzi unaoweza kutumika katika majukumu ya mahusiano ya Umma na mawasiliano ama kazi za Mashauriano.