Maelezo ya kazi
Katika sekta hii kazi zinazopatikana ni kama vile, shule za msingi, Sekondari, Sekondari za juu, na walimu wasaidizi. Kazi kwa ujumla ni pamoja na:
Katika sekta hii kazi zinazopatikana ni kama vile, shule za msingi, Sekondari, Sekondari za juu, na walimu wasaidizi. Kazi kwa ujumla ni pamoja na:
- Kuandaa mpango la kufundishia
- Kutekeleza na kutoa mafunzo na shughuli za mafunzo, kuwaweka wanafunzi madarasani, kuwapa kazi za kufanya wakiwa nyumbani, na shughuli zingine nje na masomo.
- Kuandaa na kusimamia mitihani
- Kusahihisha na kukusanya matokeo ya mtihani na kuandaa taarifa za wanafunzi.
- Kuhudhuria na kushiriki vikao vya shule na shughuli za maendeleo ya kitaalamu.
Ujuzi
Kufanya kazi kwenye sector ya kufundisha ni muhimu kuwa na ujuzi huu:
Kufanya kazi kwenye sector ya kufundisha ni muhimu kuwa na ujuzi huu:
- Ubunifu
- Shauku na roho ya somo husika
- Kuongea na kuandika lugha ya kiswahili na Kingereza bila shida
- Ujuzi wa mawasiliano
- Kufanya kazi kwa umoja
- Uwe na Mawazo chanya
Vigezo
Ukiwa na cheti (haishauriwi), astashahada na shahada ya Elimu kwa shule za msingi. Angalau Astashahada shule za Sekondari na shahada ya somo husika au ya elimu kwa shule za Sekondari ya juu.
Ukiwa na cheti (haishauriwi), astashahada na shahada ya Elimu kwa shule za msingi. Angalau Astashahada shule za Sekondari na shahada ya somo husika au ya elimu kwa shule za Sekondari ya juu.