Job description
Kama mtaaluma kwa ujumla utafanya kazi kwenye nafasi za Vyuo vikuu, kufanya tafiti na kufundisha wanafunzi katika nyanja walizochagua. Kazi zake zinaanzia uprofesa hadi mkufunzi msaidizi, na majukumu yanatofautiana kulingana na ukubwa wa nafasi yako. Kwa ujumla majukumu yake ni pamoja na;

- Kufundisha masomo kupitia mihadhara.
- Kuongoza na kusimamia wanafunzi katika kazi zao, na mambo mengine yanayohusiana na maendeleo ya taaluma zao.
- Kuandaa rasilimali mafunzo na mazoezi kwa wanafunzi.
- Kuendeleza na kuangalia upya mitaala.
- Kuendesha mitihani, kupanga kazi na kukabidhi matokeo.
- Kufanya research binafsi.
- Kufanya shughuli za ushauri na huduma kwa jamii.
Ujuzi stahiki
Kufuata fani ya wanataaluma, ni muhimu kuwa na ujuzi ufuatao uwezo ambao waajiri huutaka:
Kufuata fani ya wanataaluma, ni muhimu kuwa na ujuzi ufuatao uwezo ambao waajiri huutaka:
- Ujuzi wa teknolojia na habari kwenye: Microsoft ofisi, barua pele, mtandao, n.k.
- Ujuzi wa mawasiliano sahihi kwa njia ya sauti (kuongea) na mandishi, pamoja na uwezo wa kuwasilisha habari, maarifa na Ujuzi kwa wengine.
- Kufanya kwa umoja.
- Uwezo wa kuandika kitaalam mbalimbali ya kiofisi.
- Kuwa na mipango na umakini, kama ambavyo utakuwa na uhuru mpana.
Mahitaji
Mahitaji ya kitaaluma like (Mahitaji haya yanakuwa na uhusiano na nyanja ya tafiti uliyofanya)
Pia ni faida kama mtu ana uzoefu wa kufundisha katika ngazi yoyote. Nafasi ya mhadhiri msaidizi hutakiwa kuwa na uzoefu wa kufundisha kwa mwaka moja. Mhadhiri mkuu miaka 3 na profesa kuanzia miaka 5 na zaidi.
Mahitaji ya kitaaluma like (Mahitaji haya yanakuwa na uhusiano na nyanja ya tafiti uliyofanya)
- Profesa/ profesa mwandamizi/mshiriki, Daktari na huzingatia idadi ya kutosha ya machapisho ya kitaaluma.
- Mhadhiri mkuu- Daktari na machapisho machache ya kitaaluma.
- Mhadhiri - Daktari mwenye ufaulu karibu na Daraja la wastani wa pointi 4.0
- Mhadhiri msaidizi- Ufaulu wa daraja la wastani wa point 4.0 wa shahada ya pili na 3.8 shahada ya kwanza.
- Msaidizi wa mafunzo- Shahada , daraja la wastani wa point 3.8