Mtandao ni nini?
Mtandao ni kitendo cha kuzingatia na kushirikiana na wengine ili kuweza kuendeleza uhusiano wa kitaaluma, kubadilishana taarifa na kujifunza fursa mbalimbali.
Kwanini mitandao?
Mitandao inaweza kukusaidia katika:
- Kugundua mawazo mapya na msukumo wa mipango yako.
- Jiunganishe na washauri na wadau wapya.
- Tambua fursa zinazoweza kukusaidia mipango yako.
- Jifunze kutoka kwa watu wengine, makosa na uzoefu uliopita.
- Fanya ukaribu kwa ajili ya maendeleo ya baadae ya mipango yako.
Wapi wewe unaweza mtandao?
Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na mtandao:
- Pamoja na mwalimu na mshauri wako
- Pamoja na vikundi vya wanafunzi wengine katika matukio na safari za shuleni
- Katika mchakato wa kujitolea
- Pamoja na wazazi, walezi au ndugu
- Pamoja na jamii nyingine ya wanafunzi na mipango
- Katika matukio ya kuajili na waajili
- Katika mashirika ya vijana kama vile Career Hub
- Pamoja na Asasi zisizo za kiserikali na mashirika
Jinsi ya mtandao kwa ufanisi
- Kutana na watu ambao unafikiri watakuwa na umuhimu kwako katika mitandao, jitamburishe wewe na mradi wako.
- Kama inawezekana, kabla ya kukutana na mtu ni muhimu kuwa umeshafanya utafiti juu ya historia yao. Ni taarifa gani unazozitafuta kuzipata kutoka kwao.
- Lenga kuwa na mawasiliano mazuri na wengine. Angalia nini unaweza kutoa kwao, ambachpo kitaweza kuwanufaisha moja kwa moja kutoka katika mipango yako. Weka fursa yeyote wazi kwao.
- Uzianze mazungumzo kwa kitu ambacho unakihitaji, anzisha mauhusiano kwanza.
- Kuwa rafiki na mpole.
- Lenga kuwafahamu watu wengine pia.
- Sikiliza na uliza maswali.
- Badilishan nao mawasiliano mwisho wa mazungumzo, na tuma barua pepe kwa ajili ya kufuatilia, ujumbe au piga simu.