Maelezo ya kazi
Kazi kwenye teknolojia ya habari ni pamoja na; mshauri wa teknolojia ya habari, Mhandisi wa programu, Mchambuzi wa mifumo, mchambuzi msaidizi wa teknolojia ya habari, Mtaalamu wa kuwakilisha mauzo. Ingawa kazi hizi zina tofauti kidogo, zina majukumu yanayoendana kama vile:

- Kusimamia teknolojia ya habari na mifumo ya kompyuta/ tarakilishi
- Kugundua matatizo na kuweka wazi, halafu kutekeleza mikakati ya majawabu.
- Tafiti za data na matumizi, na maendeleo
- Msaada wa teknolojia ya habari na utatuzi matatizo: kutatua matatizo ya vifaa vya TEHAMA, majukwaa, mtandao na maudhui.
- Ufuatiliaji na kutathimini huduma na kutangaza taarifa.
- Kuchambua data
Ujuzi
Kufanya kazi kwenye teknolojia ya habari ni faida kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao waajiri huutaka:
Kufanya kazi kwenye teknolojia ya habari ni faida kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao waajiri huutaka:
- Uwezo wa kukusanya, kuweka na kuunganisha pamoja data kutoka vyanzo mbalimbali na kuzitangaza kwa kina katika taarifa.
- Uwe na uwezo wa ujuzi wa kompyuta
- Umakini wa taarifa
- Mipango binafsi na uwezo wa kufanya kwa kujitegemea chini ya usimamizi mdogo sana.
- Kutatua matatizo
- Fikra za uchambuzi
- Fikra zenye mantiki
- Kufanya kazi kitimu
- Uelewa wa biashara
Vigezo
Uwe na shahada ya kwanza ya sayansi ya kompyuta au stashahada ya masomo husika.
Uwe na shahada ya kwanza ya sayansi ya kompyuta au stashahada ya masomo husika.