Maudhui ya Kozi
Kozi zinazotolewa katika Idara hii ni pamoja na, Utu, Uchumi, Takwimu, Sayansi ya siasa na Utawala, Elimu ya Jamii, jiografia na mafunzo ya Mazingira. Katika kusoma kozi hizi utapata ujuzi kuhusu watu, miradi na jamii kupitia muundo wa maelezo ya kupimika na makadirio kuhusu Ulimwengu.

Njia za kazi
Kozi mbalimbali zinazotolewa katika Sayansi ya Jamii, huonyesha kazi mbalimbali ambazo wahitimu hufata. Wahitimu Mara nyingi huenda kufanya kazi zifuatazo: Usomi na Utafiti, Benki na fedha, Meneja wa Biashara, mfanyakazi maendeleo ya jamii, mchambuzi data, mshauri wa Mazingira, mashirika yasiyo ya kiserikali, Serikali ya kitaifa na za mitaa, Utawala, Ualimu, afisa utalii, afisa uhusiano wa Umma, mfanyakazi wa kijamii na vijan na afisa rasilimali watu.