Maelezo ya kazi
Ndani ya sekta kazi ni pamoja na: Kusanifu, ubunifu wa Ndani na ubunifu wa michoro. Usanifu hujenga ubunifu mpya wa miradi ya ujenzi. Wanafanya kazi kubuni majengo ambayo ni salama kwa matumizi, imara na mazuri yakuvutia.
Watu ambao wapo kwenye sekta ya ubunifu hufanya kazi kwa ukaribu na wateja kutoa bidhaa, na kubuni majengo, michoro na zaidi. Katika kazi hizi, majukumu kwa ujumla ni pamoja na:

- Kuzalisha michoro elekezi ya mipango.
- Kuleta wateja ndani na kuratibu pamoja nao Kujenga na kutekeleza miradi.
- Kushirikiana na wataalamu wa ujenzi, Wahandisi, wanateknolojia na team ya bajeti kufanya upembuzi wa mradi.
- Kuomba ruhusa kwa serikali kutekeleza miradi.
- Kusafiri kwenda saiti, maeneo yaliyopendekezwa na mikutano ya wateja.
Ujuzi
Kufuata kazi ya ubunifu na usanifu ni faida Kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao waajiri hutaka:

- Ujuzi wa mawasiliano kwa njia ya mazungumzo na maandishi.
- Ujuzi binafsi wa kutosha, na uwezo wa kufanya kazi vizuri na wateja.
- Ubunifu/Kujiongeza
- Ushirikiano, usimamizi wa miradi na ujuzi wa kupanga.
- Kufanya kazi kwa umoja
- Kutatua matatizo
- Utaalamu wa uzalishaji
Mahitaji
Ili kuwa msanifu kamilifu, utahitaji shahada ya Usanifu. Kwa kazi za ubunifu shahada ya ubunifu wa mambo ya ndani au shahada inayohusiana lakini siyo lazima.