Maudhui ya Kozi
Shahada ya kwanza kwenye sekta ya biashara na Usimamizi huhusisha kufundisha Misingi, nadhalia na taratibu za biashara. Kozi tofauti tofauti na Taasisi hutofautiana Kulingana na malengo yao husika. Dhana za kawaida ambazo ni jumuishi hufundishwa kote, kozi zote ni: Biashara Uhasibu, Usimamizi wa shughuli, Masoko, Sheria ya Biashara, Fedha na Uchumi.

Njia za kazi
Wahitimu wa shahada katika sekta ya biashara na Usimamizi mara nyingi huenda moja kwa moja kwenye kazi zinazoendana na Mafunzo yao. Kazi hizo ni pamoja na: wachambuzi wa takwimu, washauri wa biashara, Usimamizi wa biashara, Uhasibu, uwekezaji wa benki, uchambuzi wa data, Utunzaji kumbukumbu za Bima, Usimamizi wa miradi, na Usimamizi wa Ushauri.
Kusoma Shahada ya Biashara na Usimamizi, utapata wigo mpana wa ujuzi mwingi. Watu mara nyingi huchukua kazi ambazo hazihusiani sana na shahada walizosomea, kama vile; Afisa wa rasilimali watu, Masoko, Usimamizi kwa ujumla, Kazi za Mauzo na uchanganuaji wa mifumo.