Maelezo ya kazi
Kwenye sekta ya madina, rasilimali na Nishati kuna kazi kama vile; Usimamizi/menejimenti, Uhandisi madini, mwanajiolojia, soroveya, uchimbaji, Wataalamu wa teknolojia ya habari. Ingawa kazi hizi zinatofautiana lakini kazi za ujumla ni pamoja na:

- Kufanya tafiti na majaribio ya ardhi zenye rasilimali na madini
- Kufanya soroveya maeneo mapya ya ardhi
- Kuchimba madini kutoka chini ya ardhi
- Kufanya tafiti ya vyanzo vipya vya nishati
Ujuzi
Kufanya kazi kwenye sekta ya madini, rasilimali na nishati ni faida Kuwa na ujuzi ufuatao:

- Uwezo wa teknolojia: Uweze kufanya kazi ya kuendesha na kumiliki vifaa.
- Uwe na nguvu
- Uwezo wa kuchambua na kutatua matatizo
- Kujipangilia na ufanisi
- Uwezo wa kufanya maamuzi
- Ujuzi wa mawasiliano na binafsi.
Vigezo
Kupata umeneja, mhandisi wa madini, au mwanajiolojia waajiri mara nyingi huangalia shahada ya kwanza ya nyanja husika. Kazi zingine ni faida kuwa na stashahada na uzoefu husika.