Maelekezo ya kazi
Majukumu katika huduma za afya na sekta ya kazi ya jamii ni pamoja na: udaktari,daktari wa meno, madawa, muuguzi, mkunga,mfanyakazi katika jamii, mwanasaikolojia, na wasaidizi wa huduma za kiafaya. Katika majukumu haya, kazi za jumla ni pamoja na:

- Kuwatathimini wagonjwa kwa vipimo muhimu na kuwapatia huduma.
- Kutekeleza afua za huduma za kiafya muhimu.
- Maagizo ya dawa.
- Kuyatathimini matokeo ya wagonjwa na kufuatilia kwa ajili ya kuimarisha zaidi.
- Kuwafuatilia wagonjwa na wahudumu ipasavyo.
- Kushrikiana na ndugu, wataalamu wengine wa huduma za kiafya na marafiki.
- Kuipatia jamii elimu kuhusu afya kwa ujumla.
- Kuandika taarifa.
- Kuwashauri na kuwapatia maelekezo wagonjwa na wateja.
Ujuzi
Kufuata kazi katika huduma ya afya na kazi za jamii, ni muhimu sana kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao waajiri wanaangalia:

- Ujuzi mzuri katika kuwasiliana: kusikiliza, pamoja na kuwasiliana kwa kuandika na kuongea
- Kutatua matatizo
- Kufanya maamuzi
- Ujuzi utabibu na uwezo wa kufanya vizuri katika kikundi
- Uelewa
- Ujuzi wa kupangilia
- Hamasa
Mahitaji
Ili kuweza kuwa daktari,mfamasia au daktari wa meno, utatakiwa kuwa na shahada ya kwanza katika kitengo husika. Stashahada itatakiwa katika uuguzi, ukunga na saikolojia. Katika vitengo vingine, shahada au stashahada itasaidia lakini haihitajiki.