Vigezo vya kujiunga kwa ujumla
Unaweza kuomba taasisi za elimu ya juu kama:
Ili kudahiriwa programu ya shahada yoyote ile inayotolewa na taasisi za elimu ya juu, ni lazima angalau ufaulu masomo matatu kuanzia daraja C elimu ya sekondari na angalau mawili elimu ya sekondari ya juu yenye jumla ya pointi 4.0. Ambapo (A=5, B=4, C=2, D=1, E=0.5).
For applicants holding foreign qualifications, you must have your qualifications validated and equated by the respective regulatory bodies before submitting your applications for admissions as follows: a. The National Examinations Council of Tanzania in respect of certificates of secondary education and teacher education; and b. The National Council for Technical Education in respect of NTA level 6 qualifications.

- Mwombaji mpya wa mafunzo unayetambulika
- Mhitimu wa kidato cha sita, ulifanya mtihani wa taifa wa baraza la mitihani Tanzania.
- Mhitimu wa kidato cha sita uliefanya mtihani wa mabaraza mengine ya nje ya nchi. (Wenye vyeti vya nje vya sekondari, na sekondari ya juu au vyote).
Ili kudahiriwa programu ya shahada yoyote ile inayotolewa na taasisi za elimu ya juu, ni lazima angalau ufaulu masomo matatu kuanzia daraja C elimu ya sekondari na angalau mawili elimu ya sekondari ya juu yenye jumla ya pointi 4.0. Ambapo (A=5, B=4, C=2, D=1, E=0.5).
For applicants holding foreign qualifications, you must have your qualifications validated and equated by the respective regulatory bodies before submitting your applications for admissions as follows: a. The National Examinations Council of Tanzania in respect of certificates of secondary education and teacher education; and b. The National Council for Technical Education in respect of NTA level 6 qualifications.
Kabla ya kuomba
Kabla ya kuomba kujiunga na chuo ni lazima ujue:
Kama unavyeti vya nje ya nchi kutoka mabaraza mengine ya mitihani tofauti na Baraza la mitihani la Taifa, utatakiwa kuwasilisha vyeti vyako kwenye baraza la mitihani la taifa kwa ajiri ya kuthibitisha na kulinganisha alama. Baada ya hapo ndo utaambatanisha vyeti vyako na kuvituma Tume ya vyuo vikuu nchini kwa ajili ya kupitisha maombi.
Waombaji wote wa kidato cha sita( wote wa baraza la mitihani na wale ambao siyo kupitia baraza, wanatakiwa kulipia bila udhamini kiasi cha TZS 50000. Unaweza kufuata maelekezo kupitia ukurasa huu.. http://campuslane.co.tz.co.tz/how-to-apply-for-university/

- Kozi unayotaka kusoma
- Chuo unachotaka kusoma
- Mahitaji ya taasisi ya elimu ya juu unayoomba na yale unayoendana nayo, kwa maana ya 1) Masomo yanayotakiwa ya elimu ya juu na 2)
- Ada Ushindani ukoje kwenye hiyo taasisi unayoomba na programu unayotaka kusoma.
Kama unavyeti vya nje ya nchi kutoka mabaraza mengine ya mitihani tofauti na Baraza la mitihani la Taifa, utatakiwa kuwasilisha vyeti vyako kwenye baraza la mitihani la taifa kwa ajiri ya kuthibitisha na kulinganisha alama. Baada ya hapo ndo utaambatanisha vyeti vyako na kuvituma Tume ya vyuo vikuu nchini kwa ajili ya kupitisha maombi.
Waombaji wote wa kidato cha sita( wote wa baraza la mitihani na wale ambao siyo kupitia baraza, wanatakiwa kulipia bila udhamini kiasi cha TZS 50000. Unaweza kufuata maelekezo kupitia ukurasa huu.. http://campuslane.co.tz.co.tz/how-to-apply-for-university/
Jinsi ya kutuma maombi
Taratibu za kutuma maombi:
Taratibu za kutuma maombi:
- Tafuta fomu yako ya maombi kwenye chuo unachokitaka/unavyotaka
- Mwisho wa maombi ya awamu ya kwanza utakuwa mwezi wa 8, awamu ya pili itakuwa mwanzoni mwa mwezi 9 na awamu ya tatu mwishoni mwa mwezi wa 9.
- Chuo chako kitachambua fomu ya maombi yako.
- Utapewa taarifa kwa ajili ya usahili au kama haujakubaliwa.
- Baada ya usahili utapokea majibu ya kukubaliwa au kukubaliwa. Mwisho kabisa wa udahili wa wanafunzi vyuo vikuu itakuwa mwezi wa kumi na moja.