Maelezo ya kazi
Kazi katika uchapaji na uandishi wa habari ni pamoja na; uandishi wa habari, mhariri, muangalia ukweli, na uchapaji. Ingawa kazi hizi zinatofautiana lakini kuna kazi za jumla kama vile:

- Kuandika na kukusanya habari
- Kuhariri na kuhakikisha kusoma makala
- Kusoma habari
- Kutafiti makala
- Kuhoji vyanzo
- Kuweka na kutunza mawasiliano
Ujuzi
Kufanya kazi ya jornalism na sekta uchapaji ni muhimu kuwa na ujuzi huu wanaoutaka waajiri:

- Ujuzi wa mawasiliano ya kuongea vema sana na kuandika
- Ujuzi binafsi na uwezo wa kuwa na mtandao na watu wengi.
- Shauku
- Kujiamini
- Kusimulia hadithi
- Hamasa na kujielewa
Vigezo
Baadhi ya waajiri hutaka shahada ya ya uandishi wa Vyombo vya habari na mawasiliano ya umma.