Swali: Tuambie kitu chochote kuhusu wewe
Usianze kuelezea kuhusu familia yako na wapi umesoma au unaishi. Muajiri anachoangalia katika hili swali ni kukuangalia wewe, na kuweza kuona ni jinsi gani unaweza kuwa muajiriwa wenye manufaa shirika lake. Badala yake, ongea kuhusu uwezo wako na ujuzi wako muhimu ulionao.
Jibu Baya:
Ni mtu wa 4 kuzaliwa katika familia ya watoto 8. Nilisoma shule ya sekondari Mkwawa na Iyunga. Baada ya kumaliza shule, niliomba kujiunga na chuo kikuu Dar es salaam, na kwa sasa nimehitimu shahada ya Siasa na utawala wa Umma.
Jibu Zuri:
Mimi ni mtu mchapakazi na mara nyingi nawiwa kuona kazi zinakamilika. Nina amini katika kufanya kazi kwa bidii, lakini kwa kufanya hiki kama sehemu ya kikundi kuhakikisha ufanisi katika matokeo.

Swali: Kwanini tukuajiri?
Hapa unatakiwa kuelezea kitu ambacho kinakutofautisha wewe na wengine, na kivipi utafanya matokeo mazuri katika shirika au kampuni. Ongea kuhusu uzoefu wako na mafanikio uliyopata katika kazi yako.
Jibu zuri:
Nimekuwa ninafanya kazi katika sekta hii kwa muda wa miaka 2 na nimeridhika na mafanikio niliyoyapata. Moja kati ya kazi zangu ilikuwa ni kuweka tovuti ya shirika kabla ya kujiunga na shahada yangu ya pili. Nina shauku na nafasi ya kazi ninayoomba kwa sababu kubwa ya uzoefu wangu na mafunz niliyopata kwenye shahada yangu ya pili. Ninaamini kwamba hizi sifa zote kwa pamoja zitaweza kunifanya mimi kuwa muajiliwwa mwenye manufaa kwenye shirika lako. Ujuzi wangu wa kuwasiliana na ujuzi binafsi zinanifanya mimi kuwa na ufanisi katika utendaji. hatimaye , nina uelewa mzuri sana katika mambo ya IT ambayo yatanifanya mimi kuwa na manufaa mazuri katika shirika.

Swali: Ni mshahara kiasi gani unastahili?
Jibu Baya:
Kabla, nilikuwa ninalipwa kiasi cha shilingi 800,000/=, kwa sasa nataka nilipwe hata zaidi ya kiasi cha shilingi 900,000/=
Jibu Swali:
Nina nia sana ya kufanya kazi kwanza, kusema kwa uaminifu, ninatarajia kulipwa kutegemeana na mpango sahihi wa shirika, ambao utakuwa unaangalia pia gharama za maisha katika jiji/sehemu hii. Mwanzoni nilikuwa ninalipwa kiasi cha shilingi 800,000/=, kwahiyo ninaimani kuwa mshahara unakuwa kwenye kiwango hicho. Ingawa , lengo langu ni katika shauku langu katika kazi.

Swali: Nini udhaifu wako mkubwa?
Jibu Baya:
Ninafanya kazi kwa bidii. Jibu hili linaweza kuchukuliwa kama utani, unaweza usichukuliwe kwa uzito.
Jibu zuri:
Mimi siyo muongeaji san, hii mara nyingi huwa kama kizuizi au changamoto kwangu pale inapokuja swala la kujamiishana na katika swala la kufanya kazi kwa pamoja kama kikundi. Nimeamua kujiunga na mazungumzo ya umma kila mwishoni mwa wiki ili niweze kujifunza ujuzi huu nilioukosa. Na kwasasa ninaimarika na naongea vizuri tuu.

Swali: Tuambie kuhusu nyakati ulipofeli na ulijifunza nini kutokana na hiyo
Jibu Baya:
Nilisimamishwa masomo na baadae kufukuzwa shule nikiwa mwaka wa mwisho, na hivyo sikuhitimu na wenzangu. Nililaumu sana, ilisababishwa tu na chuki ya walimu. Nilichoka na kuhisi kukata tamaa ya shule. Na kujifunza chuki ni mbaya.
Jibu Zuri:
Nilipokuwa chuoni kuna siku sikuhudhuria kipindi cha uwasilishaji, nilikuwa naumwa lakini sikutoa taarifa kwa mwalimu, na kwakuwa sikuwa na ushahidi wa hospitali mwalimu aliniona sizingatii masomo. Matokeo yake nilikosa alama za uwasilishaji na hivyo sikufikia alama za kuniruhusu kufanya mtihani wa mwisho. Kwa maana hiyo ilinibidi nirudie kozi mwaka ulikuja muhula wote. Nilijifunza kwamba mawasiliano ni muhimu, kama ningetoa taarifa nisingerudia kusoma kozi ile mhula mzima. Pia nidhamu na kuzingatia kila jambo bila kuchukulia mzaha.

Swali: Vitu gani hukupa hamasa ?
Jibu Baya:
Kufanya kazi vizuri na kupata mshahara mkubwa.
Siyo kwamba Jibu hili siyo sahihi lakini linaweza kukupotezea fursa. Swali hili hasa linataka uonyeshe namna gani una mchango chanya. Usitoe tu majibu ya ujumla yenye utata majibu yako hayajitoshelezi kuhusu wewe. Badala yake jaribu kutumia swali hili kama fursa kuwapa wasahili baadhi ya sifa zako na tumia mfano ikiwezekana.
Jibu Zuri:
Mara zote nimekuwa nikipata hamasa ninapokutana na changamoto ya jambo jipya ambalo sikulijuwa kabla, halafu napambana kutafuta namna ya kutatua tatizo hilo. Hunifanya nifikiri kwa kina na kuongeza ufahamu wangu kwenye kazi yangu. Lakini pia nimekuwa nikipata hamasa kufanya kazi kwa umoja, kirafiki na kwa bidii chini ya usimamizi mdogo. Sipendelei kusimamiwa sana, maana nafurahia mwenyewe kutimiza majukumu yangu.

Swali: Marafiki zako watasemaje kuhusu wewe?
Jibu baya:
“Mimi ni msikilizaji mzuri”
Unapokuwa msikilizaji mzuri ni sifa binafsi, muajili wako hana haja ya kusikia hayo yote. Hawakuajili wewwe ili uwe sehemu ya wao kukulilia. Unatakiwa kutoa majibu yako yawe yanaendana na kazi unayofanyia usaili kwa kadili iwezekanavyo. Kama utaweza weka hata mfano.
Jibu zuri:
Marafiki zangu wataweza kunielezea mimi kama mtu wa haki, huwa siwezi kumvumilia mtu amabae anaenda kinyume na haki. Pale nilipokuwa elimu ya juu ya sekondari, nilikuwa nawapigania wanafunzi ambao walikuwa wanaadhibiwa bila kosa. Wanaweza pia kusema mimi ni kiongozi na mtu anaeshauri wenzake. Nilipokuwa elimu ya juu ya sekondari nilikuwa kiongozi wa vikundi mbalimbali na kiranja wa shule. Niliwashauri wanafunzi wenzangu katika vitu mablimbali kama kuwa na majadiliano ya masomo na wanafunzi kutoka shule nyingine. Mwisho, marafiki zangu wataweza kusema kwamba mimi ni mtu rafiki na mwenya msaada.