Maelezo ya kazi
Kazi katika siasa na sekta ya umma ni pamoja na: Mbunge wa bunge la taifa, mwanachama wa muhimili wa utendaji, Mahakama, mamlaka ya serikali za mtaa, Ofisi ya raisi, wafanyakazi ofisi ya raisi usimamizi huduma za umma na utawala bora. Ingawa kazi hizi hutofautina lakini kuna baadhi ya majukumu yanayofanana kama vile:

- Kutunga sera za utawala wa serikali, malazi na usimamizi wa rasilimali na rasimali watu.
- Utekelezaji wa sera
- Usimamizi wa huduma za serikali
- Usanikishaji rasilimali watu na usimamizi wa mifumo
- Kuongeza kiwango cha utoaji wa huduma za umma
- Kujadili mambo yanayotokea
- Kuwauliza mawaziri kuhusu mambo wanayowajibika
- Kuandaa kanuni/taratibu/sheria
- Utawala na maendeleo mjini na vijijini
Ujuzi
Kufanya kazi kwenye siasa na sekta ya umma, ni faida kuwa na ujuzi ambao waajiri huutaka:
Kufanya kazi kwenye siasa na sekta ya umma, ni faida kuwa na ujuzi ambao waajiri huutaka:
- Ujuzi wa mipango
- Uongozi
- Uwezo wa Kufanya maamuzi
- Kutatua changamoto
- Ubunifu
- Kufanya kazi kwa umoja
- Ujue vizuri kuwasiliana kwa njia ya mazungumzo na maandaishi
- Uwe na ari na hamasa ya siasa na mambo ya sera.
- Ujuzi wa ushawishi na mazungumzo
Vigezo
Shahada ya kwanza ya siasa na utawala wa umma au masomo yanayoendana na sayansi ya jamii.
Shahada ya kwanza ya siasa na utawala wa umma au masomo yanayoendana na sayansi ya jamii.