Maelezo ya kazi
Ndani ya sekta ya Vyombo vya habari, Matangazo na Uhusiano wa umma kazi ni pamoja na: Mwendelezaji ubunifu wa maudhui, Msimamizi/meneja Matangazo, Masoko na mshauri wa mauzo. Ingawa kazi hizi zina tofauti ndogo, kazi za jumla ni pamoja na:

- Kuinua masoko
- Muunganiko na timu ya kukuza
- Kuendeleza mikakati ya masoko ndani na nje ya mtandao
- Kubuni mipango ya masoko na kusimamia utoaji wa kampeni za masoko na shughuli za uhusiano wa umma.
- Kuendeleza na kusimamia Tovuti na hazina za mitandao ya kijamii
- Kusimamia wadau
- Kufanya tafiti za soko
- Kuchambua data za wateja
- Kubuni nyenzo za masoko na Matangazo kama vile vipeperushi /Vijitabu
Ujuzi
Kuingia kwenye sekta ya Vyombo vya habari, Utangazi na uhusiano wa umma, ni faida kuwa na ujuzi ufuatao:
Kuingia kwenye sekta ya Vyombo vya habari, Utangazi na uhusiano wa umma, ni faida kuwa na ujuzi ufuatao:
- Uwezo mzuri wa kuzungumza na kuandika Lugha ya kiswahili na Kingereza.
- Umejipangilia
- Mbunifu na mfumbuzi
- Uweze kujitangaza vizuri kwenye ndani ya mitandao ya masoko pamoja na mitandao ya kijamii.
- Uwezo wa kufanya kazi kwa mipango binafsi
- Ujuzi binafsi
- Kufanya kazi kwa ushirikiano
Vigezo
Kupata kazi ya umeneja, waajiri wengi wanataka mtu mwenye shahada masoko au fani zinazofanana. Kwa kazi zingine siyo lazima uwe na shahada. Uzoefu kwenye sekta unaweza kusaidia katika maombi.
Kupata kazi ya umeneja, waajiri wengi wanataka mtu mwenye shahada masoko au fani zinazofanana. Kwa kazi zingine siyo lazima uwe na shahada. Uzoefu kwenye sekta unaweza kusaidia katika maombi.