Maelezo ya kazi
Kazi katika biashara na usimamizi wa jumla unaweza kuhusisha kazi kama vile Meneja wa maendeleo ya biashara, meneja wa kikundi, na mkurugenzi. Ndani ya kazi hizi shughuli kwa ujumla ni pamoja na:

- Kupanga na kutekeleza miradi.
- Kusimamia vikundi vya watu
- Kushirikiana na washirika, wadau na mashirika mengine.
- Kufuatilia na kutathimini miradi.
- Kuandaa na kuchambua mipango ya kazi na taarifa.
- Kuunda mikakati ya kukua na kupanuka kwa shirika.
Ujuzi
To follow a career in academia, it is advantageous to have the following skills and strengths that employers look for:

- Mawasiliano sahihi na ujuzi binafsi
- Uzoefu wa uongozi
- Kujenga umoja
- Kujiendesha na kujipanga mwenyewe
- Ujuzi binafsi na Kuwa na mtandao wa watu
Mahitaji
Kuingia kwenye kazi ya menejiment/usimamizi wa biashara unatakiwa kuwa na shahada ya kwanza ya utawala wa biashara au usimamizi wa biashara, uhandisi, benki, uhasibu, au nyanja inayohusiana.