Career Hub inapunguza hali ya ukosefu wa ujuzi stahiki na taarifa muhimu katika soko la ajira Tanzania.
Tunafanya ukusanyaji wa taarifa za fani mbalimbali kwa vijana wadogo na kutoa vyanzo vya kuendeleza ujuzi, ambavyo huwajenga vijana kufanya machaguo sahihi (kwa kuwa wanataarifa) kuhusu maisha yao ya baadae.