Maudhui ya Kozi
Kozi zinazotolewa chini ya idara ya Sayansi ya Afya ni, Madawa, Meno, Famasia, uuguzi, afya ya umma, maabara na Sayansi tumizi.

Njia za kazi
Kutokana na uasili wa mafunzo ya shahada ya Sayansi ya Afya, Wahitimu walio wengi huenda kwenye kazi zinazohusiana na taaluma za shahada zao moja kwa moja, mfano; udaktari, udaktari wa meno, ufamasia, uuguzi na utafiti. Wahitimu pia huenda kwenye kazi kama vile; kazi za maendeleo ya jamii, ualimu, ukuzaji wa afya, Ushauri nasaha na kazi za jamii na vijana.