Maudhui ya Kozi
Wakati wa shahada ya Sheria, utajifunza tabia za msingi wa mfumo wa kisheria na Sheria ya Tanzania. Pia utafundishwa jinsi ya kutumia Misingi ya Sheria na kanuni za kisheria kutatua na kuchanganua/ kuchambua matatizo ya kisheria kwa vitendo na kufanya maamuzi. Moduli za msingi kwenye kozi ya Sheria Tanzania ni pamoja na: Katiba na mifumo ya kisheria ya Afrika mashariki, Sheria ya makosa ya uhalifu na utaratibu, Sheria ya mkataba, Sheria ya Ardhi, Sheria ya Adha/hasara, Sheria ya Utawala, Sheria ya Ushahidi na Sheria ya Biashara.

Njia za kazi
Kusoma Shahada ya Sheria, watu wengi hutumia shahada zao moja kwa moja kwenye kazi kama vile kuwa: mwanasheria, wasaidizi wa sheria, Wakati ukisoma shahada ya Sheria utapata ujuzi mwingi muhimu, unaoweza kutumika katika kazi zingine kama vile: Uhasibu, Taifani na serikali za mitaa, Mashirika yasiyo ya kiserikali, uchambuzi maswala ya data, na rasilimali watu.