Maelezo ya kazi
Katika sekta ya mauzo ya rejareja na bidhaa za matumizi kazi ni pamoja na: meneja/msimamizi wa mauzo, mshauri wa mauzo, meneja/msimamizi wa stoo/duka, mfanyakazi mahusiano na wateja na wanunuzi. Majukumu ya pamoja katika sekta hii ni pamoja na:

- Kununua mazao kwa ajili ya stoo/duka
- Kuhudumia wateja stoo/dukani
- Kufunga hesabu za mauzo
- Kushughurikia malipo
- Kutoa habari ya bidhaa/mazao kwa wateja
- Kutangaza bidhaa
- Kupanga na kuendeleza muonekano wa stoo /duka
Ujuzi
Kufanya shughuli hizi ni muhimu uwe na ujuzi wanaotaka waajiri:

- Uwezo binafsi
- Ujuzi wa Mawasiliano bora ktk lugha ya kiswahili na Kingereza
- Kufanya kazi kwa umoja
- Kuendana na mazingira
- Uwe na nguvu na shauku
- Kujiamini
- Uelewa wa biashara
Vigezo
Kwenye sekta hii, siyo lazima uwe na elimu ya kiwango cha shahada. Uzoefu wa mauzo na kukutana na wateja unakubeba kufanya maombi.