Maudhui ya Kozi
Uhandisi ni Kozi zinazohusika kuweka maarifa ya hesabu na kisayansi katika vitendo kupitia mitindo ya miradi mbalimbali. Kozi mbalimbali za Uhandisi hugawanyika katika maeneo fulanifulani maalumu,kama vile; Kemikali, Ujenzi, Umeme, Mitambo, Madini, Viwanda, Nguo, na Uhandisi wa petroli (Mafuta).

Njia za kazi
Wahandisi wanaweza kutafuta kazi zinazohusiana moja kwa moja na shahada zao, kama vile: Uhandisi wa Magari, Uhandisi wa ujenzi, Uhandisi/ufundii Mitambo. Zaidi Kulingana na maudhui ya uchambuzi na tarakimu/hesabu za shahada ya Uhandisi, Wahandisi pia huenda kufanya kazi za Benki, Madini, Usimamizi wa Uzalishaji na Ushauri.