Job Description
Utawala na kazi za ofisini, unaweza kujumuisha majukumu tofauti tofauti kama vile: Afisa rasimali watu, mapokezi, msaidizi wa watu, katibu, na mhudumu kwa wateja.
Kazi zote hizi zina majukumu yanayoendana, ambayo ni pamoja na:

- Kuandaa barua, taarifa, na jumbe.
- Kufuatilia, kupanga/aina na kujibu email za kila siku.
- Kutunza kalenda za matukio na kusaidia kupanga ratiba pamoja na kuratibu vikao.
- Kusimamia mpango wa kufanya kazi kama timu.
- Kuandaa hati za kisheria
- Kuunganisha wafakazi na rasilimali kuwasaidia kufanya kazi zao kwa usahihi.
- Kupokea simu, na kuelekeza simu zipigwe kwa walengwa.
- Shughuli za ofisini ni kama vile; kutoa fotokopi, kujaza na kusaidia kuandika hati, taarifa na mawasiliano.
Ujuzi Stahiki
- Kufuata fani ya wanataaluma, ni muhimu kuwa na ujuzi ufuatao uwezo ambao waajiri huutaka:
- Ujuzi wa teknolojia na habari kwenye: Microsoft ofisi, barua pele, ekseli,mtandao.
- Uwezo wa hali ya juu wa kimpangilio
- Ujuzi wa mawasiliano kwa njia ya maandishi na mazungumzo.
- Ujuzi binafsi, ujuzi imara wa kutoa huduma kwa wateja na uwezo wa kufanya kazi vizuri na wengine.
- Kusimamia muda vyema, kwa maana ya shughuli binafsi na ratiba za watu wengine.
- Uwezo wa kufanya kazi katika mpango binafsi na kuwajibika.
Vigezo
Ni faida lakini siyo muhimu kuwa na shahada ya Kwanza inayohusiana na nyanja ya utawala, Rasimali watu, Sayansi ya Jamii, uhusiano wa umma na mawasiliano. Pia ni faida kuwa na Uzoefu katika utawala.
Ni faida lakini siyo muhimu kuwa na shahada ya Kwanza inayohusiana na nyanja ya utawala, Rasimali watu, Sayansi ya Jamii, uhusiano wa umma na mawasiliano. Pia ni faida kuwa na Uzoefu katika utawala.