Maelekezo ya kazi
Katika sekta ya uhandisi, kazi maalumu ni pamoja na: uhandisi wa kemikali, uhandisi wa mitambo, uhandisi wa majengo, uhandisi wa Kompyuta, na uhandisi wa mazingira. Katika kazi hizi unaweza kusimamia moja kwa moja mradi kutoka mwanzo hadi mwisho. Shughuli zitaweza kujumuisha:

- Kuandaa mipango kwa ajili ya mradi wenye michoro ya kiundani, vipimo vya mradi na makadirio ya gharama.
- Kutengeneza mahesabu ya kiuhandisi, michoro na taarifa za kiufundi.
- Kutekeleza miradi, na kuweza kutoa marekebisho na utatuzi.
- Kuweza kutoa taarifa husika zenye muendelezo wa kiteknolojia katika. kiwanda na kufanya kazi kwa kuweza kuziwekeza zaidi njia mbalimbali katika miradi yako.
Ujuzi
Kwa kufuata kazi katika ubunifu na uchoraji, ni muhimu kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao mara nyingi waajiri huangalia:
Kwa kufuata kazi katika ubunifu na uchoraji, ni muhimu kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao mara nyingi waajiri huangalia:
- Ubunifu
- Uwezo wa kuhesabu na kuchambua, kuelewa uchambuzi mgumu wa kihesabu, upambanuzi na mahesabu mengine kwa ajili ya ubunifu.
- Uwezo wa kutatua matatizo
- Kufanya kazi pamoja
- Ujuzi wa kuandika na kuongea, uwezo wa kuwasiliana na wafanyakazi, wanakikukndi na usimamizi.
- Usiamamizi wa miradi, uwezo wa kutekeleza muda, vifaa, watendaji na fedha.
Mahitaji
Shahada ya kwanza katika kitengo kinachohusika na uhandisi inahitajika. Ili kuwa msimamizi wa mradi utatakiwa kuwa na uzoefu kazini kwa muda wa miaka 3-5 kwenye kitengo hicho.
Shahada ya kwanza katika kitengo kinachohusika na uhandisi inahitajika. Ili kuwa msimamizi wa mradi utatakiwa kuwa na uzoefu kazini kwa muda wa miaka 3-5 kwenye kitengo hicho.