Maudhui ya Kozi
Changamoto ya wimbi la kuongezeka kwa watu, mabadiliko ya tabia nchi/ hali ya hewa, na upungufu wa Ardhi na maji safi vyote vinaathiri uwezo wa sekta ya Kilimo kufikia mahitaji ya chakula, malighafi na mafuta. Sayansi ya Kilimo hutoa tafiti, Teknolojia na taarifa za maendeleo endelevu na maadili ya sekta ya Kilimo.
Dhana za kawaida ambazo hufundishwa kwenye kozi za Kilimo hujumuisha: Biashara ya kilimo, Sayansi ya Kilimo, Kilimo endelevu, Elimu ya Kilimo, Usimamizi wa rasilimali Kilimo. Mafunzo yake ni pamoja na; Sayansi ya udongo, jenetiki, Mfumo wa mseto,Kuchanganya udongo na mimea, Uzalishaji mifugo, Kilimo uchumi na masoko ya nafaka.

Njia za Kazi
Baada ya kuhitimu shahada ya Teknolojia ya Kilimo na Uvuvi, Utakuwa na ujuzi mpana ambao unaweza kuutumia kwenye fani (kazi) mbalimbali.
Wahitimu wa shahada ya kwanza ya Teknolojia ya Kilimo na Uvuvi mara nyingi huajiliwa na makampuni ya dawa za Kilimo, makampuni ya Uzalishaji, Biashara, Makampuni ya Ushauri wa Kilimo, Vikundi vya wakulima na vikundi vingine vya jamii, viwanda vya chakula, makampuni ya Mbolea, Mashirika ya umma, Mashirika ya kimataifa, Mashirika ya tafiti, vyuo vya kati na vyuo vikuu.