ujuzi katika karne ya 21
Kuna ujuzi gani katika karne ya 21?
Ujuzi katika karne ya 21 ni maarifa, uwezo, ujuzi na maadili yanayohitajika zaidi katika soko la ajira.
“Ujuzi katika karne ya 21 kwa ujumla ni uwezo muhimu katika nyanja maalumu kama vile; ushirikiano, utaalamu wa kidijitali, Fikra za kina na utatuzi wa matatizo, wanasheria wanaamini kuwa shule zinahitaji kufundisha kuwasaidia wanafunzi kuweza kuendana na ulimwengu wa sasa”- Elizabeth Rich

Kwanini ujuzi katika karne ya 21 ni muhimu?
Kwasasa, soko la ajira kwa watanzania linakumbana na upungufu wa ujuzi, kati ya ujuzi ambao waajili wanangalia na ujuzi ambao vijana wanakuwa nao. Matokeo yake hupelekea kwa kiasi kikubwa kutoka katika kazi za ushirika, na nafasi hizo kubaki wazi, ingawa kiwango cha watu wasioajiliwa ni kikubwa. Vijana wanashindwa kufahamu ni ujuzi upi ambao waajiri wanahitaji, au ni sehemu gani wanaweza kuendeleza ujuzi wao. Sehemu hii inalenga zaidi katika kuwasaidia vijana kuelewa ni ujuzi upi unahitajika sana katika soko la ajira kwa sasa, na jinsi ya kuendeleza ujuzi huo.

Kufanya kazi kwa pamoja
Kama unataka kufanya kazi ipasavyo utahitaji kufanya pamoja na wenzako kama sehemu ya kikundi. Kufanya kazi kwenye kikundi unatakiwa kuwa mkarimu, mwenye mawazo chanya na kuwa msikilizaji mzuri. Ni muhimu kuheshimiana kila mmoja, na mawazo anayochangia mtu, kusaidiana kila mmoja kufanya kazi kwa pamoja. Kuwa na kikundi fanisi ni muhimu katika shirika au kampuni yoyote. Unaweza kupata uzoefu katika kufanya kazi kwenye vikundi kwa kuwa sehemu ya timu ya michezo, kikundi cha kujitolea, au kikundi kingine chochote cha kufanya kazi.

Ujuzi wa Mawasiliano
Ujuzi wa mawasiliano sahihi, kwa maandishi na mazungumzo ni muhimu sana katika sehemu ya kazi. Ufanisi katika ujuzi wa mawasiliano unaruhusu kufanya kazi vizuri kama sehemu ya kikundi, kukabiliana na tamaduni za kazi kutoka mashirika tofauti, na kuweza kuongeza matokeo ya kazi yako. Njia halisi ya kuwasiliana ni pamoja na kuandika barua, barua pepe, kuwasilisha mawazo yako, na kuwa na maajadiliano ndani ya kikundi. Unaweza kukuza ujuzi wako katika kuwasiliana kwa kuwafundisha wanafunzi wadogo, kuongea mbele ya watu,kuwasikiliza wengine, na kujadiliana mawazo yako na wengine.

Ubunifu
Ubunifu na ufumbuzi ni muhimu kuendelza na kufanya maono makubwa, na siyo lazima kiwe kitu ambacho unafanya kwa mikono. Mark Chandler kutoka Sisco alisema, “kama ukijaribu vitu 5 na ukapatia vyote sawasawa, unaweza kuwa unashindwa. Lakini kama ukijaribu vitu 10 na ukapatia 8 sawasawa kati ya hivyo, unakuwa ni shujaa. Hauwezi kulaumiwa kwa kushindwa kufikia lengo lililipangwa, lakini utalaumiwa kwa kutokujaribu” .kuweza kufikiria kiundani na kiupana zaidi itaweza kukuza upeo wa akili, na kukuruhusu kutafuta ufumbuzi kwenye changamoto unazokumbana nazo. Wakati unakumbana na tatizo, unatakiwa kufikiria kwa umakini na kuzingatia kila uwezekano wa utatuzi bila kuogopa kuwa utashindwa.

Kufikiri kwa kina
Ulimwengu wa karne ya 21 unahitaji watu walio vizuri, amabao wanaweza kufikiria kiundani zaidi and kuja na ufumbuzi mpya kwenye matatizo mbali mbali. Ili kuimarisha ujuzi wa kufikiria kwa kina, unatakiwa kujiweka wazi wewe mwenyewe kwenye mawazo mapya, taarifa na njia zingine mbadalaza kutatua matatizo kwa kusoma vitu tofauti. Soma vitabu nje ya mtaala wako, magazeti, nyaraka tofauti, na makala kwenye mitandao. Unapokuwa unasoma unatakiwa kuangalia zaidi ni nini unachofikiri kuhusu kitu ambacho mtu ameandika, unakubaliana au unapingana na wanachokisema? Jiulize maswali na angalia ni kivipi ni vizuri kutatua matatizo mbalimbali.

Uelewa wa Teknolojia
Teknolojia inakuwa ni sehemu muhimu katika kazi yoyote, kwahiyo kijana aliye elimika, uelewa wa teknolojia ni ujuzi muhimu sana. Ujuzi huo ni pamoja na kutengeneza nakala, lahajedwali, uwasilishaji, kutuma barua pepe, na kutumia mtandao vinaongezeka zaidi kuhitajika na waajiri. Kupitia teknolojia unaweza pia kupata mawazo ya kijamii,kiuchumi, kibiashara, kisiasa na kitamaduni, na kulinganisha data. Hii itaweza kukutengenezea ufumbuzi mpya kwenye tatizo. CDI wameweza kutengeneza kitabu cha mafunzo ya ujuzi wa teknolojia, tafadhari unaweza kutumia kitabu hiki cha mafunzo kuendeleza ujuzi wako.

Maendeleo binafsi
Ni muhimu kuzidi kujiendeleza ujuzi wako binafsi. Waajili wanawathamini zaidi wahitimu ambao wanaelewa uimara, mapungufu na ujuzi wao binafsi na kujituma kuweza kuendeleza zaidi. Tumia sehemu yetu ya ugunduzi binafsi kufahamu sifa zako binafsi. Unaweza kuwa unataka kuendeleza ujuzi kama kujiamini, kujali muda na kujiendelezea tabia ya ujasiliamali. Kuendeleza ujuzi binafsi unatakiwa kusoma kwa wingi iwezekanavyo. Kwa kusoma utatengeneza njia maalumu kwa ajili ya kuweza kujielewa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi pale ambapo unakumbana na kila kitu katika maisha.

Kupata na kuchambua taarifa
Kupitia taarifa tunafahamu mawazo mapya, na kufahamu nini kinaendelea katika ulimwengu. Ulimwengu wa karne ya 21 unahitaji watu ambao wanataarifa zaidi. Kufanya utafiti na kutafuta data ni mifano ya upatikanaji wa taarifa ambazo zitakufanya wewe upate taarifa mara zitokeapo. Kwa Tanzania kuna msemo usemao, hauwezi kufahamu vyote, lakini ni vema ukafahamu mambo mengi! Hii inamaanisha kwamba kupata taarifa ni muhimu ni njia nzuri ya kupanua uelewa wetu zaidi katika ulimwengu hata kama hatutajua vyote. Usiache kujifunza.