Wasifu ni nini?
Wasifu ni hati ambayo waajiri huhitaji kutoka kwa mwombaji pale wanapotoa nafasi ya kazi. Wasifu unatakiwa uoneshe muombaji anapendelea nini, uzoefu na ujuzi wake. Ujuzi na uzoefu ambao waajiri wanaangalia unaweza kuendelezwa katika njia mbalimbali kama vile uzoefu katika kazi,vipawa, shughuli zingine za ziada na kujitolea. Katika uandishi wa wasifu wako ni muhimu kuonesha njia ambazo unaweza kuwa na uzoefu na ujuzi unaosababishwa ambao utahitajika kukufanya wewe uajiriwe zaidi.

Vidokezo katika uandishi wa wasifu
Hakikisha kuwa wasifu wako ni mfupi na unakulenga moja kwa moja. Haitakiwi iwe zaidi ya kurasa 3 kwenye karatasi ya A4. unatakiwa kutarajia kuwa na kurasa moja na nusu mpaka kurasa mbili.
Hakikisha taarifa muhimu unazotaka muajiri azipate zinaonekana vizuri na zinakuwa na matokeo.
Soma kwa makini maelekezo ya kazi na tambua ni ujuzi upi, uzoefu na uwezo ulio nao ambao unahusiana na vigezo ambavyo muajiri anaangalia. Hakikisha kufanya uhusiano huo uwepo katika uandishi wa wasifu wako.
Sifa za kitaaluma na kitaalamu zinatakiwa ziwe katika mpangilio mzuri.
Ifanye kuwa rahisi na wazi, unaweza kuielezea zaidi kwenye usahili.
Epuka makosa ya uandishi kwa gharama yoyote, kosa moja litaonesha msukumo mdogo na kupelekea maombi yako kutofanikiwa.
Sema ukweli, usiweke taarifa za uongo kwenye wasifu wako. Itakuletea matatizo makubwa zaidi pale ambapo muajiri wako anapokuwa anakagua taarifa zako za nyuma na waamuzi wako,na kupelekea ombi lako kutafanikiwa.
Chapisha wasifu wako na angalia jinsi unanvyooneaka, fanya uonekane mzuri:
-Je, maneno ni makubwa au madogo
-Je, kuna uwiano mzuri kwenye maneno au shemu za wazi?
-Je, upana wa karatasi ni mkubwa au mwembamba?
-Je, inavutia macho kwa haraka zaidi?