Maudhui ya Kozi
Idara hii ina sehemu mbili za taaluma, Bailojia ya Bahari na Usimamizi wa rasilimali na Fizikia na mazingira ya sayansi ya Bahari. Bailojia ya baharii na Usimamizi wa rasilimali hulenga mambo yanayohusika na Bailojia ya Bahari, Uzalishaji wa Bahari, Uvuvi, mimea Bahari, Mamalia bahari, rasilimali pwani na bahari, Usimamizi wa rasilimali jamii na Uchumi.
Wakati Fizikia na mazingira ya sayansi ya Bahari ina sehemu kuu mbili: (i) Sayansi ya Fizikia na Kemikali. Katika Sayansi ya Kemikali kozi kwa ujumla wake hulenga: Uchafuzi, mazao ya asili na uhusiano wa anga kati ya Ardhi na Bahari.(ii) Kipengele cha kifizikia hulenga maumbo bahari, jiolojia bahari, Teknolojia ya bahari.

Njia za kazi
Wahitimu wa shahada ya Sayansi ya Bahari huenda kwenye kazi mbalimbali, pamoja na wanabailojia wa bahari, wasomi, mashirika ya hifadhi yasiyo ya kiserikali, tafiti za serikali, tafiti na maendeleo ya sekta, usafiri wa majini, na utabiri wa hali ya hewa kwenye sekta ya usafirishaji wa bahari, na ushauri wa mazingira.