Hatua ya Kwanza katika kutuma maombi ya chuo kikuu ni kuamua Kozi ipi Unataka kusoma na Chuo kipi Unataka kuomba.
Kuchagua Kozi
Wakati unaamua ni Kozi gani utaenda kusoma chuo kikuu kuna mambo lazima kuzingatia: kitu gani unakifurahia na unakipendelea, mpango wako wa fani, na endapo unakizi vigezo na Masharti ya kujiunga na chuo kikuu. Kwenye kurasa zifuatazo utakuta maelezo jinsi ambavyo kozi mbali mbali za chuo kikuu zinakuwa, pamoja na kazi ambazo unaweza kufanya hapo baadae kwa kila kozi utakayochagua kusoma. Tumia taarifa hizi kukusaidia katika kufanya maamuzi ya kuchagua kozi utakayoenda kuisoma chuo kikuu. Halafu, unatakiwa kuona Kama umekidhi vigezo vya kuomba Chuo. Vigezo vya kujiunga vitatofautiana kutegemeana na kozi gani unataka kusoma na chuo gani unachagua kuomba. Utakutana na taarifa za nini kinatakiwa kwa kila kozi kwenye prospektasi ya chuo kwa mtu binafsi na mwongozo wa TCU. http://www.tcu.go.tz/images/documents/AdmissionGuidebookF6_2018_2019.pdf

Kuchagua Taasisi ya Elimu ya Juu
Wakati unafanya maamuzi ya chuo kipi Unataka kusoma, Kuna mambo mengi ya kuzingatia: mambo hayo ni pamoja na maudhui ya mpango wa kozi unayotaka kusoma, Aina ya kujifunza inayotumika, Mahali, nahitajika ya jumla ya uandikishwaji, Ada, Ubora wa elimu na Ukubwa. Taarifa hizi utazikuta kwenye Tovuti ya chuo na Prospektasi. Kama hauna uhakika na Wapi pa kuanzia, hapa chini Kuna orodha ya Vyuo Vikuu Tanzania. Tengeneza orodha ya faida na hasara, Kulingana na mapendekezo yako ya vigezo vilivyopita.

Taasisi za elimu ya juu Tanzania
Abdulrahman Al- Sumait University (SUMAIT) , Zanzibar
Ardhi University (ARU), Dar es Salaam
Arusha Technical College (ATC), Arusha
Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), Mwanza
Center for Foreign Relations (CFR), Dar es Salaam
College of African Wildlife Management (CAWMM), Kilimanjaro
College of Business Education (CBE), Mwanza
Tengeru Institute of Community Development (CDTI), Arusha
Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), Dar es Salaam
Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), Dar es Salaam
Dar es Salaam University of College of Education (DUCE), Dar es Salaam
Eastern Africa Statistical Training (EASTC), Arusha
Hubert Kairuki Memorial University (HKMU), Dar es Salaam
Institute of Accountancy (IAA), Arusha
Institute of Adult Education (IAE), Dar es Salaam
Institute of Finance Management (IFM), Dar es Salaam and Mwanza
Institute of Public Administration (IPA), Zanzibar
Institute of Rural Development Planning (IRDP), Mwanza
Institute of Social Work (ISW), Dar es Salaam
Institute of Tax Administration (ITA), Dar es Salaam
Jordan University College (JUCo), Morongoro
Karume Institute of Science and Technology (KIST), Zanzibar
Kilimanjaro Christian Medical College (KCMCo), Kilimanjaro
Mbeya University of Science and Technology (MUST), Mbeya
Mkwawa University College of Education (MUCE), Iringa
Moshi Cooperative University (MOCU), Kilimanjaro
MS Training Centre for Development Cooperation (MS-TCD), Arusha
Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), Dar es Salaam
Muslim University of Morogoro (MUM), Morogoro
Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), Zanzibar
Mwenge Catholic University (MWECAU), Kilimanjaro
Mzumbe University (MU), Morogoro
Mzumbe University- Mbeya University College (MUMCo), Mbeya
National Institute of Transport (NIT), Dar es Salaam
Open University of Tanzania (OUT), Dar es Salaam
Ruaha Catholic University (RUCU), Iringa
Sokoine University of Agriculture (SUA), Morogoro
St. Augustine University of Tanzania (SJUT), Dodoma
St. Joseph University College of Engineering and Technology (SJUCET), Dar es Salaam
St Joseph College of Health Sciences (SJCHS), Dar es Salaam
State University of Zanzibar (SUZA), Zanzibar
Stella Maris Mtwara University College (SteMMUCo), Mtwara
Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Sinigida
Tanzania Public Service College (TPSD), Dar es Salaam
Tanzania Public Service College (TPST), Tabora
Tumaini University (TD), Dar es Salaam, Arusha
Unique Academy (UAD), Dar es Salaam
Univeristy of Arusha (UoA), Arusha
University of Dar es Salaam (UDSM), Dar es Salaam
University of Dodoma (UDOM), Dodoma
University of Iringa (UoI), Iringa
Water Institute (WI), Dar es Salaam
Zanzibar University (ZU), Zanzibar