Mahitaji ya kazi
Kazi katika benki, uhasibu na fedha vinaendana, lakini kuna tofauti ndogo katika nyanja hizi tatu. Benki kwa ujumla humaanisha mtu mwenye nafasi katika sekta ya benki. Katika kazi za kila siku hupokea pesa za wanaoweka, kutoa mikopo, na manunuzi wazi. Muhasibu au msimamizi/meneja wa fedha anaweza kufanya kazi benki au kwenye biashara. Uhasibu katika kazi za kila siku unajumuishi mtiririko wa pesa zinazoingia na zinazotoka ndani ya kampuni au taasisi. Kufanya kazi katika fedha kunachukua mfumo wa usimamizi wa Mali na mipango ya baadae ya ukuaji wa kampuni au taasisi.

Ujuzi
Kufuata fani hizi kitaaluma, ni muhimu au faida kuwa na ujuzi ufuatao, na uwezo ambao waajiri wanautafuta:

- Ufahamu kusoma na kuandika hesabu/nambari
- Ujue vyema teknolojia ya habari kwenye ekseli, programu za uhasibu, barua pepe, Microsoft ofisi na mtandao.
- Ujuzi bora wa kuwasiliana katika mazungumzo na maandishi.
- Umakini katika mambo
- Ujuzi wa uchambuzi na maamuzi mazuri
- Kutatua matatizo
- Nguvu ya masoko na uelewa wa biashara
Vigezo
Kazi ya benki, uhasibu na fedha kwa ujumla huhitaji shahada inayohusiana na nyanja husika, kwa mfano; fedha au uhasibu.