Maelekezo ya kazi
Katika ukarimu na sekta ya usimamizi wa utalii, majukumu ni pamoja na: kusimamia malazi, kusimamia migahawa, kuandaa chakula,huduma mgahawani,usimamizi wa misitu, masoko na huduma kwa wateja. Majukumu ya kawaida na kazi katika kitengo hiki ni pamoja na:

- Kupanga safari na likizo: malazi, usafiri na gharama
- Kushirikiana na wateja
- Kutafuta masoko ya safari, vivutio na malazi.
- Usimamizi wa vikundi vya watu
- Kusaidia wageni kwenye ugonvi na malalalmiko.
- Kubajeti
Ujuzi
To follow a career in hospitality and tourism , it is advantageous to have the following skills and strengths that employers look for:

- Strong written and verbal communication skills
- Multiple languages, especially kiswahili and english
- Excellent presentation of oneself, and office etiquette
- Highly organised
- Excellent customer service skills: polite and friendly personality
- Ability to manage and lead a team
- Ability to work well under pressure
Vigezo
Kufikia ngazi ya umeneja katika sekta ya Utalii na Ukarimu, huhitajika shahahda inayohusiana. Kwa kazi zingine hazihitaji vigezo vya kitaaluma lakini stashahada kwenye Ukarimu hupewa kipaumbele. Uzoefu kwenye utalii na Ukarimu vitakuwezesha kupanda kiwango cha kazi za nafasi za juu.