Maelezo ya kazi
Kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali watu huajiliwa kwenye kazi kama vile; usimamizi wa miradi, Ufuatiliaji na tathimini, mratibu wa watu wa kujitolea, afisa wa kutafuta misaada, na mtunza fedha. Kazi za ujumla ni pamoja na:

- Kusimamia shughuli za mradi, Kuongoza mipango ya mradi, Kubajeti, mipango ya utendaji na Ufuatiliaji.
- Kuungana na wadau, Watoa misaada, na watu wa kujitolea.
- Kufuatilia matokeo na Mwendelezo na kutoa taarifa.
- Kugundua na kutekeleza majibu ya matatizo.
Ujuzi
Kufanya kazi kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali ni muhimu kuwa na ujuzi ambao waajili huutaka:
Kufanya kazi kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali ni muhimu kuwa na ujuzi ambao waajili huutaka:
- Usimamizi wa miradi na utelezaji
- Ujuzi wa kuwasiliana vyema kwa mazungumzo na maandishi
- Ujuzi wa maendeleo ya Biashara
- Ujuzi wa kuweza kuwa na mtandao watu
- Kuandaa jamii
- Ari na Hamasa
- Kufanya kazi kwa umoja na ujuzi binafsi
- Ujuzi wa kutawala na kuongoza mashirika
- Kuzungumza lugha nyingi
Vigezo
Kupata kazi za usimamizi/umeneja waajiri wengi huchukua watu wenye shahada katika masomo ya sayansi ya Jamii.
Kupata kazi za usimamizi/umeneja waajiri wengi huchukua watu wenye shahada katika masomo ya sayansi ya Jamii.