Maelekezo ya kazi
Ukiwa kama mfanyakazi kwenye sekta ya ujenzi, utakuwa nje ya uwanja wa mradi, kufanya kazi za kila siku za Ujenzi kwa ujumla.
Ukiwa kama mfanyakazi kwenye sekta ya ujenzi, utakuwa nje ya uwanja wa mradi, kufanya kazi za kila siku za Ujenzi kwa ujumla.
- Kubeba vifaa na kusambaza kutoka kwenye magari hadi sehemu za ujenzi tayali kwa ajili ya kufungwa na kazi zingine.
- Kujaribu nyenzo na mitambo ili kuhakikisha ipo sawa kwa kufanyia kazi.
- Kuhakikisha usalama wa kikundi/timu.
- Kujifunza ujuzi mpya kama vile ufundi seremala, kazi za umeme, ufundi mabomba na ujuzi mwingi maalumu kutokana na meneja/msimamizi wa ujenzi.
Ujuzi
Kufuata kazi yake kitaaluma, ni faida kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao waajiri hutaka:
Kufuata kazi yake kitaaluma, ni faida kuwa na ujuzi ufuatao na uwezo ambao waajiri hutaka:
- Ujuzi wa kuwasiliana kwa mazungumzo
- Kuendana na mazingira na utayali wa kujifunza ujuzi mpya.
- Kutunza muda vizuri
- Uwezo wa kumaliza mradi kwa wakati na bujeti husika.
- Uwezo/ nguvu za kimwili
Mahitaji
Waajiri wengi wa kazi za ujenzi huajili wafanyakazi wenye stashahada. Pia hutoa upendeleo kigezo cha uzoefu kwenye usimamizi wa ujenzi lakini haihitajiki sana.
Waajiri wengi wa kazi za ujenzi huajili wafanyakazi wenye stashahada. Pia hutoa upendeleo kigezo cha uzoefu kwenye usimamizi wa ujenzi lakini haihitajiki sana.